Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,158
- 48,405
Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu.
Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au tutapewa miili mipya?
Hivi mtaa wa jehanam nao upo mbinguni ama jehanam tunakutana nayo wapi? Na Jehanamu Kuna kutembeleana kama Ahera (Paradiso)?
Wanaokatazwa hapa duniani kunywa pombe (Waislam) huko mbinguni wamewekewa mito inayotiririsha pombe.
Lakini wanaoruhusiwa kunywa pombe (wakatoliki) hapa duniani wanaambiwa mbinguni hakuna kula wala kunywa. Hivyo wasiokunywa pombe wanafurahia mbinguni watakuta mito ya pombe, na wanaokunywa wanakunywa kwa bidii maana mbinguni hakuna pombe.
Wanaooa wake zaidi ya mmoja (Waislam)hapa duniani wameambiwa mbinguni watakuta mabikra 72 wanawasubiria na bikra zao zitakazokuwa zinajirudia kila baada ya tendo.
Wasiooa (wakatoliki) wanaambiwa mbinguni hakutakuwa na kuuoa wala kuolewa. Duniani bila mke na mbinguni hakuna mke pia.
Kazi ipo!