Mbingu zinatazama

Mkuu hiyo picha ya kwanza ni malaika?
 
Habari yako mshana jr hivi una uwezo wa kutambua mawazo mabaya au mazuri anayokuwazia mtu? (Kusoma fikra za mtu?)
 
Naweza kwa kumwangalia machoni.... Kuna usemi unasema the guilty are afraid... Mtu mwovu hana courage ya kuangaliana nawe

Nawezaje kupata uwezo huo mimi Kasie au kama ni ujuzi naupataje?
 
Mshana Daah Picha ya kwanza malaika alipaa juu na aliporudi akatua kwenye dala dala paaaa....kuanzia sasa hata jirani si mwamini tena.Maana hujui malaika atakuja saa ngapi.Maana Mungu yupo hapa hapa Tanzania,maamuzi yake na malaika wake ni ya haraka sanaaaa...
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Ubunifu wote huo bado ujumbe hautafia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…