Mbingu nyingine!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,733
26,867
Wana jamvi poleni na mishughuliko ya kila siku!
Nilikuwa nombeni kujuzwa hivi!
Ukiacha hii mbingu tunayoiona huku juu!!
Hivi huko juu ya hiyo mbingu hivi kuna mbingu nyingine tena????
 
Habari za siku tele mdau! Naona watu walilipotezea swalii lako, ila unachokiona juu mawinguni ni mawingu!! Na si Mbingu!! Mbingu ni suala la kiimani/kiroho! Halionekani kwa macho! Ni imaginary thing! Jambo la kufikirika tu! Halina uthibitisho wa kiuhalisia! Tusubiri tena kama tutapata mhudhuriaji
 
Wana jamvi poleni na mishughuliko ya kila siku!
Nilikuwa nombeni kujuzwa hivi!
Ukiacha hii mbingu tunayoiona huku juu!!
Hivi huko juu ya hiyo mbingu hivi kuna mbingu nyingine tena????
Labda rubani wa ndege atusaidie. Hivyo wanaona nini huko angani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom