MVUMBUZI JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 5,182 Reaction score 2,330 May 7, 2013 #1 Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated
Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated
Mwana Kwetu JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 652 Reaction score 607 May 7, 2013 #2 Hata mimi natafuta maeneo ya burudani hapa Njombe. Wana Njombe mpoo?
F f2rk JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 501 Reaction score 427 May 7, 2013 #3 MVUMBUZI said: Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated Click to expand... Jimboni,kigonsera,nkako,litembo,but yabidi uwe na private transport!
MVUMBUZI said: Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated Click to expand... Jimboni,kigonsera,nkako,litembo,but yabidi uwe na private transport!
micky mouse Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 158 Reaction score 54 May 7, 2013 #4 poa mkuu nenda mbinga community bank ulizia mtu mmoja anaitwa sumila atakuzungusha town au uliza godifrey shedehwa hapohapo bank utakul,bata mkuu
poa mkuu nenda mbinga community bank ulizia mtu mmoja anaitwa sumila atakuzungusha town au uliza godifrey shedehwa hapohapo bank utakul,bata mkuu
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,501 May 7, 2013 #5 MVUMBUZI said: Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jami i ya hapa. Sijazoea kuwa isolated Click to expand... dah pole sana mkuu hivi huo udongo mwekundu ushabadiruka rangi? hebu sogea mitaa ya sun city hapo down au paradiso hapo. jimbon kule kidogo unakuwa umeimaliza mbinga
MVUMBUZI said: Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jami i ya hapa. Sijazoea kuwa isolated Click to expand... dah pole sana mkuu hivi huo udongo mwekundu ushabadiruka rangi? hebu sogea mitaa ya sun city hapo down au paradiso hapo. jimbon kule kidogo unakuwa umeimaliza mbinga
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 May 7, 2013 #6 Nenda kule wanakogombea mipaka ya ziwa uliza mzee ndembeka utakaa kwa mustarehe hadi uondoke. ukimpata mpe salamu zangu.
Nenda kule wanakogombea mipaka ya ziwa uliza mzee ndembeka utakaa kwa mustarehe hadi uondoke. ukimpata mpe salamu zangu.