Mbilia bell akiongoza kwa hits kama Nakei na Nadina, ye Tshala mwana aki-hits kwa Massuwa na Dezo dezo.
Ni kati ya wanamuziki wa kike wa Congo waliowahi kutamba miaka ya 80 mpaka 90 na mpaka sasa.
Japo wote walifanya vizuri, lakini kimizania unafikiri nani anaweza kumzidi mwenzake?

Hapo ni sheeda kupata mkali kama ilivyo kwa dally Kimoko na diblo dibala kwenye gitaa la solo.
Dally Kimoko napenda akilipiga gitaa la bass sauti mwaaaa kwenye speaker, Tshala Muana ana style yake na hata Mbilia Bell, sasa ukijaribu kuwafananisha ni kama unafananisha vitu viwili tofauti, kila mmoja ana style yake na hakuna atakayeweza kupiga kiufundi au kiubunifu zaidi yao tena labda atokee mwingine aliyechipukia
Miziki yao mpaka leo inasikilizwa!
unapenda dezo dezo we bwana wee yatakushinda
kodi ya nyumba hulipi maji hutaki kulipa operesheni kata inakujaa...
Tshala Mwana nuksi
Wote Nawaheshimu Ila Gitaa La Diblo Hata Waliolala Wataamka Na Kucheza Wakati Gitaa La Dally Kimoko ( Dalikike au Gitare Enzanga Likwanza ) Malaika Wote Mbinguni Wanacheza Na Vichanga Tumboni Mwa Mama Zao Vinacheka Huku Miti Nayo Ikitikisika.
unapenda dezo dezo we bwana wee yatakushinda
kodi ya nyumba hulipi maji hutaki kulipa operesheni kata inakujaa...
Tshala Mwana nuksi
ivo yondo alikimbiza miaka gani? maana alikuwa anaweza sana