Kweli kabisa mkuu, Umasikini ni kitu kibaya sana. Inafikia kipindi mtu anawaza mambo ya miaka miwili badala kuwaza long term plans. Mfano daraja la wavuka kwa miguu pale Buguruni, hata sielewi maana ake nini paleSio tanroads tu, nahisi uwezo wa kufikiri wa watanzania wengi ni mdogo sana. Tuna shida sana sisi, au umasikini nao huchangia, sijui.
Pale mbezi sio pa kujenga roundabout, baada ya 10yrs lazima wataivunja. Pale palitakiwa complex construction, kwa sababu ni main gate ya jiji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww unataka nani akuletee chakula nyumbani kwakoUtakula Round About??????
Unaipongeza CDM kwani ndo wameleta hiyo round about?? Pongezi zote zimwendee rais kwa kuallocate fund hapo.Hongera CDM
Utakula Round About??????
Kama kuna memba JF anayeishi maeneo ya Mbezi mwisho naomba iniambie kama hii bomoabomoa imeiacha hospital ya Kipasika.
Asante sana kwa msaada wako
Asante sana mkuu,Mkuu hospitali ya kipasika imevunjwa imehamia maduka mapya! Nimeona tangazo limeandikwa juu ya kifusi cha iliyokuwa hospitali!
Mkuu unashanga round about??Aisee kumbe mwaka huu watz tumefikia hatua yakushangilia eti kujengwa kwa round about?
Mhh yaleyale unakaa ubungo kujiona kama ukoo masaki hebu tufanye yale ambaye Jf inafanya iwe tofauti na mitandao mingine, tuikumbushe serikali kujenga barabara na mambo mengine ya muhimu.Mbezi na Kimara aziwezi kuifikia ubungo hata kwa chembe, uwekezaji uliopo ubungo ni mkubwa uwezi kulinganisha na izo mbezi na kimara
Miradi iliyopo ubungo na yenye kufanya watu wengi kuja Ubungo
1. Tanesco Co.
2. Wizara ya maji
3. University of Dar es salaam Tanzania
4. Mlimani city
5. Ubungo plaza
6. Ubungo Millennium business Park [emoji566]
7. Songas Co.
8. Kibuku Co.
9. Godown
10. Mawasiliano business center
11. Bank zote zipo Ubungo ambazo zinafanya watu wengi kuja Ubungo
Nyingine sijataja kwa ubungo sio ya kulinganisha na sehemu izo nyingine nyingine
Stand ya mkoa sijaiweka kwa sababu itahama
Bongo kila kitu cha muda tu pale dampo wameambiwa wasijenge nyumba za kudumu sijui mpaka lini!!! , soko la kariakoo ni la muda linatakiwa kuhama , Ndege zinanunuliwa ndani ya miezi sita barabara zinasubir mwaka wa fedha ......Yaani kila siku najiuliza Round about ya nini sehemu yenye magari mengi kama ile?, shida ya Tanzania ni hiyo yankujenganleo baada ya miaka mitano unavunja,
View attachment 450267Baadhi ya wakazi wa Mbezi mwisho wakiwa wamesimama muda mrefu wakisubiria kushuhudia mazingaumbwe na promotion za dawa za kienyeji kama vile :
1.nguvu za kiume
2. Kumthibiti mwanaume awe bwege. Hata likizabwa kibao litoe pole kama kiganja cha mke Kimepata msukosuko
3. Mvuto ktk penzi.