GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,621
- 128,013
Wanazingua sana hawa jamaa
Ndiyo wakati sahihi sasa kuomba ' Kamkopo ' hapo Ofisini Kwako na Wewe ununue Vitz au IST au Opa au Spacio Mkuu.
Wanazingua sana hawa jamaa
SawaNdiyo wakati sahihi sasa kuomba ' Kamkopo ' hapo Ofisini Kwako na Wewe ununue Vitz au IST au Opa au Spacio Mkuu.
Ameelezea changamoto zilizopo na pia njia ya kuzikabili changamoto hizo.Uchambuzi mzuri nimeupenda mkuu...
Hongera..
Kwa taifa hilo lililojaa wajinga mtasubiri sanaHII NCHI
nimpaka siku wenye nchi wawatembezee watawala makwenzi ndio tutaheshimiana ""
hivi hivi tunavyokwenda "" inawafanya wajisahau nakutokujua wajibu wao uliowafanya wao kuwa mahala ambapo wapo leo""
subiri tu "" MUDA UTAONGEA
Huna hoja ,Bakhresa ana viwanda Kwan kasomea ?...si kaajili wataalum waliosomea kama ambavyo mmiliki wa mabasi ya mwendokasi alivyofanya !!! hadi ma engineers wa kichina wapoTutaseeema weee mabadiliko hakuna.Tatizo mradi tumewapa watani zangu nao ni wageni wa mji.Kwao ni bora wakakaa nayo ofisini ili wayashangae vizuri kuliko magari hayo kuwa barabarani.Huyu wa magogoni tu mambo msobwemsobwe sembuse hao wa mwendokasi?Watani zangu hawa bure kabisa.Usafirishaji ni taaluma kama zingine sasa sisi tulipoona wanachunga ng'ombe tukadhani mwendo kasi wataweza wapi!!Mchunga ng'ombe hatabiriki hata kidogo.Tumejitakia.Hawa wanyang'anywe mradi haraka kabla hawajaharibu zaidi.Iundwe timu ya wataalamu wa usafirishaji watujengee mfumo madhubuti wa usafiri.Watani zangu wanachojua ni kuswaga ng'ombe tu,mkijazana pale na kuanza kusukumana kama ng'ombe wanakumbuka mbaaaali huko Sangamwalugesha.
Yap yapAmeelezea changamoto zilizopo na pia njia ya kuzikabili changamoto hizo.
itatimia tu ..hata kama nibaada ya nusu karne ijayoKwa taifa hilo lililojaa wajinga mtasubiri sana
Mkiambiwa mna vichwa vikubwa lakini vimejaa chawa mnakasirika!!Nani kamtaja Bakharesa popote?Vichwa ni vya kufikiri sio kubebea mizigo boss.Tumia kichwa kusoma tena nilichoandika huenda ukaandika tofauti na huu uharo hapaHuna hoja ,Bakhresa ana viwanda Kwan kasomea ?...si kaajili wataalum waliosomea kama ambavyo mmiliki wa mabasi ya mwendokasi alivyofanya !!! hadi ma engineers wa kichina wapo
Pole sana bikra wangu.Huu usafiri unakera sana
We nyau huoni nakuita au?Pole sana bikra wangu.
Hamia geto kwangu hapo kazini kwako utakuwa unaenda kwa mguu.