Mbezi Kimara Interchange: Tanroads Mmetisha?

Yajayo yanafurahisha, Je mpo tayari??
 
Wanajenga ndio lakini hii naona ni too much kuliko wanachokijenga
 
Zamani walikuwa wanapotea waenda kwa miguu, ila soon wataanza kupotea waenda kwa mandinga
 
Ufipa hawataki ijengwe wamegoma kabisa ... wanataka isijengwe ili waongee 2020
 
Afadhali pesa za marudio ya uchaguzi kwa mbunge aliejiuzulu kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi zingeelekezwa kwenye ujenzi wa maflyover au mainterchange kama hayo ingekua poa but kwa vile waafrika tunaona mbali sana ndomana hela znateketea kwa vitu vya kipuuzi na chakushangaza zaidi watu kama akina cheyo hawajiuzulu kuunga mkono juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…