Hivi ni nini kilichoisibu hii club, iko on the way to Rainbow club kwenye ile barabara ya lami inayotoka Tangi bovu kuelekea baharini. Walikuwaga wanachoma kuku vizuri, majuzi nilipita hapo nikakuta walinzi tu wa kimasai and bad enough hawakuweza kutoa any jibu linaloeleweka.