mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Noambeni rasmi mtu anayefahamiana na JK amuombe anipe majukumu ya kuwa mshauri wake wa kisiasa! Ninaamini nina hekima kuliko waliopo kwa kweli.
Unless......
hali halisi yani vurugu ni kubwa magari yanayotoka tunduma kupitia mbeya kwenda dar yanashindwa kupita. tupo maofisini full wasiwasi njia hazipitiki haswa barabara kuuIsije ikawa MNAKUZA hali halisi? au ?
Ipo siku moja umma utaishinda nguvu dola.