EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Nasikia Mbeya hakupitiki mwenye taarifa zaidi atujuze
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka
Breaking Nuuuz: Machafuko Makubwa Mwanjelwa Mkoani Mbeya Polisi na Machinga wapigana vikali
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCMBy Edson![]()
![]()
kule udsm wafanye kama huku mbeya...mpaka sasa hali ni mbaya...
Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS KANDORO kuja na sera ya safisha jiji ambayo wakuu wa mkoa wote waliopita walishindwa kuitekeleza..
Tangu wiki mbili zilizopita alianzisha kampeni hiyo na badae akawahaidi kua atawaruhusu alhamisi lakin jana hakutekeleza ahadi yake hiyo hivo wafanyabiashara wale wakapanga kuanzisha fujo siku ya leo..
BARABARA ZOTE MBEYA MJINI ZMEFUNGWA,MADUKA YOTE NA BIASHARA ZOTE ZIMEFUNGWA,GARI MOJA IMECHOMWA MOTO,MGAMBOM MMOJA AMEUWAWA NA RAIA,POLISI WAWILI WALIOKUA KWENYE GARI WAKIPIGA MABOMU WATU WAMEUMIZWA VIBAYA NA MAWE..
BADO FUJO ZINAENDELEA,WANAUME WAPO MBELE WAMESHIKA MAWE HUKU WANAWAKE WAPO NYUMA WAMESHIKA NDOO ZA MAJI ZA KUNAWA WAKIPIGWA MABOMU YA MACHOZI..
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka
Breaking Nuuuz: Machafuko Makubwa Mwanjelwa Mkoani Mbeya Polisi na Machinga wapigana vikali
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum