MBEYA WING SPECIAL THREAD: hata kama hauko mbeya thread inakuhusu!!!

watu8
Umenikumbusha kitu tofauti hapa!

Jambo gani nililokukumbusha weye...

Mzee Tweve aliishi zamani sana na sasq ni marehemu...

Enzi hizo kiota cha maraha Forest nzima ilikuwa ni Summer Night, sijui kama hii bar ipo!!!
 
Last edited by a moderator:
Jambo gani nililokukumbusha weye...

Mzee Tweve aliishi zamani sana na sasq ni marehemu...

Enzi hizo kiota cha maraha Forest nzima ilikuwa ni Summer Night, sijui kama hii bar ipo!!!

Nimekumbuka yale mawili yanayotizama niliyoyaona kule Escape 1. Hapa wasipaone family yako.
 
Mkuu hii thread umeiona?
Bonyeza hapa mbeya
 
Last edited by a moderator:
Umeniua na in fwakti mkuu. Hiyo ndo mitaa yangu born&raised

Kuna Mhindi mmoja alikuwa anaitwa Kassim sijui kama yupo yule mzee...(ila ni zamani sana nina wasiwasi hutakuwa wamjua maana ni miaka ya 80 mwishoni na 90 mwanzoni).
 
Kuna Mhindi mmoja alikuwa anaitwa Kassim sijui kama yupo yule mzee...(ila ni zamani sana nina wasiwasi hutakuwa wamjua maana ni miaka ya 80 mwishoni na 90 mwanzoni).

Hapana boss simjui miaka hiyo mimi bado kinda
 
mbeya mjini kata ya iyunga mtaa wa kalobe teh umewah fika ndugu?

Nimeroll sana mitaa hiyo enzi nasoma Iyunga tech school.. sijui kama kuna sehemu Mbeya sijawahi fika, naijua Mbeya kama pesa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…