Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
tupo wambeya hapa
Mambo vp to all jf members whatever you are i hope wote mko fresh na mishe zinasonga,nisiwatie uchovu kwa mara nyingi nimeweza kusikia arusha wing,tanga wing,dar wing ndani ya jukwaa but nahisi wana MBEYA tumejitenga sana katika jukwaa please naomba tufahamiane ili kuweza kutengeneza umoja wetu!!! ASUBUHI NJEMA
Nipo Kyela-Ipinda
Forest ya zamani karibia na sabasaba ndio home.. Mbeya daima
tupo wambeya hapa
Tunduma kwetu japo niko DarMambo vp to all jf members whatever you are i hope wote mko fresh na mishe zinasonga,nisiwatie uchovu kwa mara nyingi nimeweza kusikia arusha wing,tanga wing,dar wing ndani ya jukwaa but nahisi wana MBEYA tumejitenga sana katika jukwaa please naomba tufahamiane ili kuweza kutengeneza umoja wetu!!! ASUBUHI NJEMA
Tunduma kwetu japo niko Dar
Mbeya 1 !!
Pamoja sana mkuuasante daud 1 karibu sinde siku ukija mbeya kaka!
tupo wambeya hapa
asante bufa sinde kota za polisi ndo kwa father niaje lakin?
Dah we jirani yangu kabisa aisee.. Lazima tunafamiana in someway. Nimecheza sana soka polisi hapo
PC, Roma unawajua hawa jamaa?
September 5 like this'
Jamani wa kulisu ipimba hamna! Thanx yusuph!