Mbeya Wameonyesha Njia, Tutarajie Kadi Zaidi.

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Lhttps://youtu.be/bGhJUwcaSCE?si=iGsZTB8KoqJ3pnpx

Kwa mtindo huu wa serikali kushupaza shingo dhidi ya Wananchi na wapiga kura wake!
Kwa mtindo huu wa Chama kutekwa na kufanyiwa Mapinduzi na kundi la wateule wachache" almaarufu CCM ina wenyewe" na kuendeleza mfumo wa makundi ya mtandao (Cartel)ndani ya CCM.
Kwa masimango yale ya kina Makamba mkubwa.kwamba "wazuri hawafi."
Kwa tabia hii ya kupambana na wasiokuwepo,huku mkijitwika legacy yao ..mfano halisi ikiwa ni "Ikulu ya Chamwino".
Kwa CCM hii ambayo mwana CCM anayetoa maoni kinzani na wenye lao jambo ndani ya chama.
Anaishia ku- Ndugai-wa au kutengwa na kunyimwa au kuzuiwa kugombea U-NEC. mifano hai ikiwa ni Job Ndugai na Luhaga Mpina.
CCM ambayo imefikia hatua ya kukosa hata nafasi nyeti kama Katibu Mkuu.
Iliyokosa hata kijana shupavu wa kuusimamia idara ya uenezi wa siasa ndani ya chama.
Na badala yake inabaki kutegemea ma - Chawa wa viongozi.
Wenye tamaa kuliko ile ya fisi wa mwituni.
Kwa serikali hii ambayo imeunda mtandao fisadi "State Capture" ndani yake kwa ushirika na Ma-taikuni wa kiraia.

"Tegemeeni kadi kuendelea kurudishwa kama mbegu za pamba toka kwa wananchi."

Huko Mbeya waneonyesha mfano tu.na sasa itakuwa ndiyo fasheni ya nchi.

Waraka wa TEC haudhihakiwi kamwe.
 
Madhara ya TEC Huwa hayachelewi kuonekana ikitokea yamepuuzwa.
Screenshot_20230827-160423.jpg
 
View: https://youtu.be/bGhJUwcaSCE?si=iGsZTB8KoqJ3pnpx
Kitendo cha wana CCM mbeya kurudisha kadi.
Ni sababu ya watendaji wa serikali kushupaza shingo dhidi ya Wananchi na wapiga kura wa CCM wake!

Kwa mtindo huu wa Chama kutekwa na kufanyiwa Mapinduzi na kundi la wateule wachache" almaarufu CCM ina wenyewe" na kuendeleza mfumo wa makundi ya mtandao (Cartel)ndani ya CCM.

Kwa masimango yale ya kina Makamba mkubwa.kwamba "wazuri hawafi."matarajia watu wasirudishe kadi?

Kwa Tozo lukuki na zisizoonekana uelekeo na tija yake kwa wananchi.
Huku mkiwajibu kwa majibu ya kejeli ya "Kuhamia Burundi"

Kwa tabia hii ya kupambana na wasiokuwepo,huku mkijitwika legacy yao ..mfano halisi ikiwa ni "Ikulu ya Chamwino".

Kwa CCM hii ambayo mwana CCM anayetoa maoni kinzani na wenye lao jambo ndani ya chama.
Anaishia ku- Ndugai-wa au kutengwa na kunyimwa au kuzuiwa kugombea U-NEC. mifano hai ikiwa ni Job Ndugai na Luhaga Mpina.
Hivi karibuni.

CCM ambayo imefikia hatua ya kukosa hata nafasi nyeti kama Katibu Mkuu.
Iliyokosa hata kijana shupavu wa kuusimamia idara ya uenezi wa siasa ndani ya chama.
Na badala yake inabaki kutegemea ma - Chawa wa viongozi.
Wenye tamaa kuliko ile ya "fisi wa mwituni"
Kwamba serikali ya CCM sasa inatumia Ma-Chawa badala ya UVCCM?

Kwa serikali hii ambayo imeunda mtandao fisadi "State Capture" ndani yake kwa ushirika na Ma-taikuni wa kiraia.

Tegemeeni kadi kuendelea kurudishwa kama mbegu za pamba toka kwa wananchi.

Huko Mbeya waneonyesha mfano tu.na sasa itakuwa ndiyo fasheni ya nchi.

Waraka wa TEC haudhihakiwi kamwe.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
CCCM asili ,inao na imewahi kuwa na wazalendo wa Kweli.

RIP Filikunjombe, ingawa ulikosea Kwa kutojua kuwa Zittow hakuwa Rafiki wa Kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom