Hiyo title ilivyokaa, utadhani ile misemo ya yule jamaa Bingwa wa rivazi![h=2]walimu wapya wapo hatarini wa kike kubakwa Mbeya.[/h]
Baada ya wizara ya elimu kutangaza ajira mpya za walimu na kutakiwa kuripoti wilayani, katika hali isiyo ya kawaida kuna mwalimu baada ya kuripoti wilayani apelekwa usiku baa alipokua mwalimu mkuu akipata kinywaji ili ampeleke kituo cha kazi ambapo ni umbali mrefu.
Je ni halali kumkabidhi mwalimu usiku na sehemu ambayo ni ya starehe na si kituo cha kazi, hivi sasa yule mwalimu mkuu ana kesi inadaiwa kuwa alimbaka yule mwalimu.
Je kosa lipo kwa nani hapo mwanajamii mwenzangu mwalimu mkuu au afisa elimu wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Ahsanteni
hata wakibakwa sisi haituhusu istoshe walimu hawana faida yoyote kwenye jamii, ona walivofelisha wadogo zetu jamani nawachukia nyie acheni tu.
hata wakibakwa sisi haituhusu istoshe walimu
hawana faida yoyote kwenye jamii, ona
walivofelisha wadogo zetu jamani nawachukia
nyie acheni tu.
Chibolo...id yenyewe utata.!!hata wakibakwa sisi haituhusu istoshe walimu hawana faida yoyote kwenye jamii, ona walivofelisha wadogo zetu jamani nawachukia nyie acheni tu.