Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

Mbipu Mwenyezi Mungu ili akikupigia umwambie akupe Madini zaidi ya ' Akili ' ambayo huna na alisahau Kukuwekea alipokuwa akikuumba.
 
Mbipu Mwenyezi Mungu ili akikupigia umwambie akupe Madini zaidi ya ' Akili ' ambayo huna na alisahau Kukuwekea alipokuwa akikuumba.

watu kama wewe wakati nasoma shule nlikuwa nawacheka sana yan jitu kubwa kubwa alafu kichwani hamna kitu, sasa wakati wa mtihani linahangaika kama linataka kukata kauli...Mungu akunyime vyote ila akupe brains mkuu...we endelea tu kuwanyenyekea binadamu wenzako ivyo ivyo....
 
Huwa sisumbuliwi Kichwa au kupotezewa Muda na ' Morosoph ' wa mfano wako hapa Jamvini JamiiForums. Pole sana / mno.
 
Hivi hawa polisi wanatatizo gani au ndo kulinda vitumbua vyao.
Katiba inasema kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. Sasa huyo amesema atamchagua Membe.
Mbona wanaotangaza kumchagua Magufuli na kutangaza kwenye vyombo vya habari nia yao ya kuomba aongezewe muda wa kutawala hawachukuliwagihatua.

Nionavyo mimi huu ni uminywaji wa haki ya mtu. Hajamlazimisha mtu, kajisemea yeye mwenye, sasa kwani nini kumkamata?
 
Pia anaweza akawa kwenye uchaguzi wa mpenzi
 
Kiherehere chake,ngoja wamkomeshe.Kwanza anajuaje kama jina lake litapita 2020 au hata kama atafanikiwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020.Na hata kama akiwepoo,kwani angepoteza nini kama angenyamaza halafu akamchagua,si kura ni siri?
 
Ni hatari sana ktk taifa kuwa Na viongozi wasiojiamini,uogopa vivuli vyao.
 
Kabla ya uchaguzi tutaona mengi ... amekamatwa kwa amri ya nani? Na kwa kosa lipi?

Hakuna kesi hapo hata ukivaa,hicho ni kipimo cha IQ ndogo za walioamuru,huo ni ujumbe usio jitosheleza au mlengi MTU
 
Kiherehere chake,ngoja wamkomeshe.Kwanza anajuaje kama jina lake litapita 2020 au hata kama atafanikiwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020.Na hata kama akiwepoo,kwani angepoteza nini kama angenyamaza halafu akamchagua,si kura ni siri?

Hakuna kesi hapo we ndo umetasfiri hivo je yeye kama ana maanisha kijijini kwao kuna MTU mwenye jina hilo au kwenye umoja wao Na wako kwenye kampeni.Mtaviogopa hadi vivuli vyenu sababu ya matendo yenu
 
Hongera kwa kubadili gear angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…