Haya wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake, Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyake kwa mahitaji ya mabati ya msauzi (kisasa) migongo aina zote na misumari yake inapatikana at reasonable prices .Karibuni sana au wasup 0758206700
Uliposema Mbeya Roofing nikawa excited nilijua mkuu umekuja na brand yako na kitu cha Mbeya,,,, then umesema ya msouth imenibidi kupotezea maana ni mchuuzi kama wachuuzi wengine tu
Uliposema Mbeya Roofing nikawa excited nilijua mkuu umekuja na brand yako na kitu cha Mbeya,,,, then umesema ya msouth imenibidi kupotezea maana ni mchuuzi kama wachuuzi wengine tu