MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,159
- 12,720
Kule Iyunga shamba la Bibi, unaweza pata ata chips yai za Buku af fresh tu.City pub konyagi 15k local beer 2500 nilihama kiwanja chap nikahamia kakiwanja fulani kanaitwa clickkapo near iyunga kule local beer 3 alf 5
Nyie wengine viroboti hamuwezi kumfolo, wivuuuuuu 😹😹Hacheki na yeyote anaulinda wake moyoo🤣🤣🎶🎶🎶🎵
🤣🤣🤣🤣 Kweli wengine siye viroboti🙌🥴Nyie wengine viroboti hamuwezi kumfolo, wivuuuuuu 😹😹
😀😀Lipia tangazoNiko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Wee jamaa muhuni sana,unapajua London Iyunga?Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000
Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hii
Kwa C.SClick Point - Nzovwe
Mkuu nimeingia Mbeya jana, nipo maeneo ya Soweto by now.Ha ha ha,sio poa asee
Pameshachacha Click point na upanuzi huu wa barabara parking yote imefyekwa.Click Point - Nzovwe
Nakubaliana nawe mkuu. Tatizo watu wanaogopa hizi Hotels wakati bei za vinywaji na chakula ni very affordable. Wajaribu kuingia Mbeya Hotel, G Town Hotel, Mkulu Hotel 25k tu unakula na kusaza.Kule Iyunga shamba la Bibi, unaweza pata ata chips yai za Buku af fresh tu.
Pale City Pub wateja wengi ndio maana wana kiburi japo wengi wao ni wapita njia na matajiri wa Chunya wasipojiangalia watajifia kama wenzao Carnival.
Kuna Bar kama Mwamunyange, Nasoma, Mwailubi, Mbeya Pazuri, na Savoy pia inakuja kwa kasi zina misosi affordable sana af classic 🔥. Bar za iyunga na Nzovwe zipo Local sana angalau ata za Mbalizi na Uyole au next time jaribu hata hotelini bei zao za vyakula vya kawaida sana na vibe lipo maana ndo machimbo ya mapedeshee/ wana apolo kutoka chunya.
Atakuwa anasema G6 na jirani yake, pia kuna lodge nzuri inaitwa amizade Sy ipo stand ya usangu. Zina viwango vizuri au southern city pale ni 30,000 kwa 25,000k.Unamaanisha carnivor au seven seven?
Sasa kwanini ujitese na ngumu kumeza!?Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Click kuna mademu wa kimburu kibaoClick Point - Nzovwe
Nimeenda sana apo kipind nipo dispensary ya mkekenaClick Point - Nzovwe
Mkekena aisee kwa kutoa mimba nilikua hamjambo...yule Dingi sijui ndio mkekena mwenyewe aisee katoa mimba yule.Nimeenda sana apo kipind nipo dispensary ya mkekena