Mbeya raha sana wakuu

Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Konyagi feki iyo apo unakunywa Gongo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • downloadfile-14.jpg
    48.4 KB · Views: 18
Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000

Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…