Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

Tukiwasema polisi akili hawana, huu ndio moja ya ushahidi.

Wanaliabisha jeshi la polisi. Makamishina msiendekeze hizi mambo. Kemeeni kulinda heshima ya jeshi.
 
Hicho chama kimeminywa mno..

Paper Democracy
 
CHADEMA NI TISHIO KUBWA SANA
 
Kwamba hawaruhusiwi hata kukumbuka kuanzishwa kwa chama chao? Literally you mean hawaruhusiwi hata kualikana lunch au picnic?
 
Hii nchi ina polisi wapumbavu sana!
 
Hongera sana jeshi la polisi, mbarikiwe milele!
 
Hii inatia doa chama chetu na kuifanya chadema kuzidi kupendwa
 
Hawajakatazwa kufanya shughuli zao. Mahakama iliwakataza kutumia mali za chama. Ikiwemo Ofisi, Magari, Komputa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…