Mbeya na mambo yao

Ni mji ambao ifikapo saa mbili tu watu wanjifungia majumbani mwao sijui wanogopa Nondo au
Ni kweli kabisa tunaogopa nondo, lakini matukio haya kwa sasa yamepungua, tuzidi kumwomba Mungu yasiwepo kabisa. Karibuni maparachichi kwa wingi jijini kwetu Mbeyaaaaaaaaa.
 
who said there is no Beach in Mbeya??

MATEMA BEACH!




SOURCE; Bayless (Billy) Parsley BLOG
 

..........Wow!! Umenikumbusha Iyunga.
 
Lakini pia kwa uchafu nao umo sana tu. wenyeji na raia wa pale wasafishe jiji lao. Tusiusifiee tu tukasahau na mengine ya kurekebisha
 
Majina mazuri pia yanapatikana mbeya
Mwakajinga
Mwakifulefule
Mwakifamba
Mwakyembe
Mwakikoti
Mwakyusa
Mwakipesile
n.k
 
Majina mazuri pia yanapatikana mbeya
Mwakajinga
Mwakifulefule
Mwakifamba
Mwakyembe
Mwakikoti
Mwakyusa
Mwakipesile
n.k

YAPS !!!!
Na Mwakasungula
Mwasaguti
Mwakisisile
Mwakyomo
Mwambapa
Mwandenuka
Mwampamba
Mwamasika
Mwakyambiki
Mwambepo
Mwasakyeni
Mwampulo
Mwa....mwa.....mwa....mwa......................................
 
YAPS !!!!
Na Mwakasungula
Mwasaguti
Mwakisisile
Mwakyomo
Mwambapa
Mwandenuka
Mwampamba
Mwamasika
Mwakyambiki
Mwambepo
Mwasakyeni
Mwampulo
Mwa....mwa.....mwa....mwa......................................
mwakalobo
mwaitege
kajigili
mwasota
songopa
mwaigomole
 
Viazi..Vinatoka MBEYA

msisahau hili...Chips mnazokula huko Dar..(kuna mwalimu mmoja darasani enzi hizo alikuwa anasema msichana wa Dar unampata kwa viazi vitatu, akimaanisha sahani moja ya chips inatengenezwa kwa viazi 3 tu na ndo hiyo inamsababisha msichana akukubali(chips na koka ya baridi..huh!)

tEHEEE..!
 
Mkuu wa Mkoa anaetumiwa na mafisadi kuuangamiza kimaendeleo mkoa wa kwao anatoka Mbeya!!!

Watu wanaooneana wivu usiokuwa na maendeleo wao kwa wao wanatoka Mbeya!!!

Katika hayo majina mmelisahau la Mtanzania nae si anatoka kwa wachuna ngozi!!!
 
Mkuu wa Mkoa anaetumiwa na mafisadi kuuangamiza kimaendeleo mkoa wa kwao anatoka Mbeya!!!

Watu wanaooneana wivu usiokuwa na maendeleo wao kwa wao wanatoka Mbeya!!!

Katika hayo majina mmelisahau la Mtanzania nae si anatoka kwa wachuna ngozi!!!

Mwakipesile ama Mwakalinga?
 
Alafu nimewahi kusikia Mbeya ni ya pili kwa idadi kubwa ya Makanisa Afrika, kwa maana ya madhehebu ya kikristu, ikiifuatia Abuja, Nigeria. Kuna mdau anaweza kuthibitisha mimi sina taharifa za kutosha kuthibitisha?
 
Dah Bujibuji upo sahihi kabisa.
Mambo ya mbeya we acha tu umesahau kuweka wanawake wa Mbeya wanapenda sana vipodozi mtu mweupe lakini utaona bado anajichubua.
 
mmh ndo unachukua mafunzo toka kwa big brother Xpini....kazi nzuri!!!
\\


MWE, FIKI?
mmesahau kuwa kuna sehemu ya wilaya ya ileje unaweza kuasafiri km 60 kwa masaa sita kutumia Land cruiser?
 

Barabara inayopita katika urefu mkubwa kabisa Tanzania toka usawa wa bahari- Mbeya (Ni barabara ya Mbeya -Chunya)
 
maharage yanayoiva fasta yakipikwa yanapatikana mbeya.
 
dr Mpongoli

Teh!
Dr Ponjoli mwizi maarufu kule Uk anatokea MBY
Ukitaka kujipima na kamtaji kako nenda mbeya
Vijana wa shule ya msingi wanaomiliki FWEZA wanapatikana MBEYA
tUNUNU!!
 
dr Ponjoli may be a great Mbeya export to Western world.Ameushame mkoa huu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…