Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Ndevu Chafu

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
267
Reaction score
32
Nifahamisheni wadau hapa jamani:

Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..

Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015.. Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha

Chama gani?
 
hata hatumjui msafwa huyo
 
Mbeya ishageuzwa jimbo la mastaa wa mji. Mpeni tu bwana maana huyu rapa wenu cjaona alichofanya, zaid nakumbuka tu alivyobebwa kutoka bungeni utadhan ile picha ya wavuvi wa kwenye noti ya sh 200 ya zaman wanaotoka na samaki baharini.
 
Aisee hili bandiko ni la kikabila kabisa na nadhani linaturudisha miaka 15 nyuma wakati siasa za kipuuzi kama hizi ziliposhamiri Mbeya .Mimi nipo Mbeya Mkuu ila hili unalolisema labda ni Mbeya nyingine isiyojulika.Ni na hakika kwa watu makini wa Mkoa wa Mbeya siasa za akina Ole medeye hatuzitaki kabisa.Jiji la mbeya kwa sasa ni metropolitan city ambapo mtanzania yeyote anaweza kuja kugombea na kuchaguliwa mambo ya usafwa,uwanji,unyakyusa sijui nini wewe ndiyo unauanzisha tena humu jamii forum.

Hii ni Mbaya sana tena hatakama huyo jamaa yako alikuwa na nia kwa staili hii unayo anaza nayo humu jamii forum ya ki olemedeye utamuharibia kabisa.Barabara kujengwa chini ya Kiwango siyo suala la Mbunge ni suala la ma injinia wa Jiji iwapo ni za Jiji na zile za Mkoa na Taifa yuko meneja wa Tanroad kama kuna mapungufu wakatae kuzipokea wakikabidhiwa .
 
Hapana Mbuzax hawezi kabsa kumtoa Sugu. Co vjana wa mbeya bt ni vjana wa ccm Mbeya ndo chaguo lao
 
Unapima upepo sio, karibu siasa ni changamoto kila mtu ana uhuru wa kugombea ilmradi ana vigezo.!
 
Kitu kikubwa kinacho kufanya umuona anafaa ni uzawa na usafwa wake mapambo mengine uliyompamba nayo ni mbwembwe.Mahubiri yale yale ya magamba ya kuwabaguwa watu kwa ukabila,udini na ukanda.
 
aisee hili bandiko ni la kikabila kabisa na nadhani linaturudisha miaka 15 nyuma wakati siasa za kipuuzi kama hizi ziliposhamiri mbeya .mimi nipo mbeya mkuu ila hili unalolisema labda ni mbeya nyingine isiyojulika.ni na hakika kwa watu makini wa mkoa wa mbeya siasa za akina ole medeye hatuzitaki kabisa.jiji la mbeya kwa sasa ni metropolitan city ambapo mtanzania yeyote anaweza kuja kugombea na kuchaguliwa mambo ya usafwa,uwanji,unyakyusa sijui nini wewe ndiyo unauanzisha tena humu jamii forum.

Hii ni mbaya sana tena hatakama huyo jamaa yako alikuwa na nia kwa staili hii unayo anaza nayo humu jamii forum ya ki olemedeye utamuharibia kabisa.barabara kujengwa chini ya kiwango siyo suala la mbunge ni suala la ma injinia wa jiji iwapo ni za jiji na zile za mkoa na taifa yuko meneja wa tanroad kama kuna mapungufu wakatae kuzipokea wakikabidhiwa .

nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa
 
afadhali wameliona lile tukio la kuvunja mic, limewaaibisha sana waliomchagua...next time wasifanye kosa kuchagua wana hipu hopu na kuwaleta bungeni chagueni watu makini..
 
Duuuu poleee ndo kakutuma uje umpe pro hapa mwambie tunamsubili na ka kampuni kake feki ka kakusanya ushuru
 
Peleka ukabila wako uko na ndevu zako chafu
nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015.. Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
Kanyoe kwanza hizo ndevu zako chafu, halafu ndio ulete thread yako!
 
wadanganye ambao hawako mbeya. kwani unayo yasema hapo hayana ukweli kama madai ya kujengwa kwa barabara mbovu hilo ni tatizo tanzania nzima, hata hapa dar kunajengwa barabara mbovu. Na madai ya kuwa mbuzax ni mchapa kazi wapi kawahi kuwatumikia wanambeya? umeamua tu kumpaka matope sugu na wivu wako tu. Pia usiseme wanambeya kwani wewe sio msemaji wa wana mbeya sema wewe ndio umesema hayo na sio wanambeya.
 
Hana jipya huyo mbulurax!
Sugu ni zaidi ya mfalme kwa mbeya.

'onyo!

Acha ukabila ni laana mbaya sana kwa uz.ao wako!
 
Back
Top Bottom