Mbeya mbona kijana chaula amepotea kabisa na hakuna kinachoendelea

Mimi nimetoa Order nichongewe Sanamu la Mwanasiasa mmoja hivi, likikamilika halafu nalichoma Moto na kubanikia Nyamachoma.

KUNA JINAI GANI HAPO?!
Maliza kwanza kulichonga alafu ulichome sasa hivi huwezi kuelewa
 
Hivi kumchoma Mwizi wa Kuku na kulichoma Sanamu la Mwanasiasa Fisadi ipi ni JINAI kati ya hayo matukio mawili?!

Nataka kupima IQ za Chawa.

Naomba majibu tafadhali?
 
Mwizi ana thamani gani ukilinganisha na sanamu ya mwasiasa wa kijani
 
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
Huyo ameenda machimboni Chunya, labda kama hakuwaaga wazazi wake, au lazima awe anaaga viongozi wa Chadema?
 
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuna cha wasiojulikana, ni policcm hao
 
Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
 
Back
Top Bottom