Tatizo ni kuwa serikali inaendelea kupiga siasa kwenye masuala yasiyohitaji siasa. Hawo machinga wa Mwanjelwa walihitaji kushughuikiwa sehemu ya kufanyia biashara siku nyingi sana.
Lakini wameendelea kuzungushwa mpaka sasa hawamwamini kiongozi yeyote wa serikali. watu wanaposema tatizo la machinga ni kubwa, viongozi wa serikali wanaona kama utani hivi. Ipo siku hawa machinga wakiamua wanaweza kuiangusha serikali