Duu, hayo ndi majanga tunayostahili kuyaangamiza kabisa katika medani ya michezo! Wanataka wanataka kufanana na wenzao wa kule Rukwa nao wlikuwa na misuguano kama hiyo lakini tangu walipoewa Tanzania Prisons wamestaraika, Nakumbuka tulipokwenda na Simba mwaka 2019, Eti kuna watu wakataka kuzuia Simba isicheze pale Sumbawanga wakidai eti walioialika timu hawakufuata utaratibu , jamai ilishangaa mno ushamba ule!