Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
Hakuna aliebisha ku inaweza kuchukua ubingwa ila wewe huu izi wako umefocus kwenye kutoshuka daraja tu na sio ubingwa!! Inaonesha una hofu na huiamini timu yako.
HV mbon mnapenda ubinasfs et mbeya Kwanza ndio kitu gani hicho? mmekoza jina lingine mpka mlete umbeya Kwanza ...ngoja waje mzimu Ni mmoja tu watapoteana wote
HV mbon mnapenda ubinasfs et mbeya Kwanza ndio kitu gani hicho? mmekoza jina lingine mpka mlete umbeya Kwanza ...ngoja waje mzimu Ni mmoja tu watapoteana wote