Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Hakuna nyumba nzur?kwani ulitembelea mitaa gani?usije shangaa umeishia uyole!!!!!
 
Mbeya ni Kijiji Kikubwaaa! Tatizo kubwa linalofanya maendeleo ya Mbeya yadorore ni tabia ya vijana haswa wazawa kuukimbia mji wao, wengi wanakumbilia Dar hawana mzuka wa kuendeleza kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…