laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
tatizo talanta yake na elimu yake ameshindwa kusaidia Taifa lake inasikitisha sana hakumbukwi kwa lolote lile so sad.Mkuu acha kufeli,mchizi alipata 5.0GPA undergrad pale FoE akaenda Birmingham,peleka wazungu to the end akapata uprofessor at very young age,he was the youngest electrical professor ever...
Dogo alikua hafai kabisa hata kwa kuchomelea....tumepita FoE tunamjua sana...dogo alikua genius Luhanga anasubiri sana...Luhanga alipita stages one by one,Mark aliruka ujinga wote,na marks zake were perfect scores....
Mkuu kama unafikiri napiga dili basi unakunywa maji ya kuoshea nguo za ndani.nafikiri mjinga ni wewe uliyedhani utaendelea kupiga dili kwa vile una kadi ya ccm,sasa hivi unaisoma namba huishi kukosoa lakini kwa watu kama sisi tunaotunza kumbukumbu hutotupata na unafiki wako wa kukosoa utawala huu(haimaanishi naunga mkono baadhi ya matendo ya awamu hii)..usirudie kuleta ujinga wako humu sababu bado tuna kumbukumbu za upuuzi wako wa kutetea kila kitu cha magamba ukiwa unapiga dili..
Mijitu mingine bwana!nafikiri mjinga ni wewe uliyedhani utaendelea kupiga dili kwa vile una kadi ya ccm,sasa hivi unaisoma namba huishi kukosoa lakini kwa watu kama sisi tunaotunza kumbukumbu hutotupata na unafiki wako wa kukosoa utawala huu(haimaanishi naunga mkono baadhi ya matendo ya awamu hii)..usirudie kuleta ujinga wako humu sababu bado tuna kumbukumbu za upuuzi wako wa kutetea kila kitu cha magamba ukiwa unapiga dili..
Jamani kwani Mbeya yenu imefanywa kitu gani mpaka muanze kuporomosheana matusi kiasi hicho? What is so special kwamba hamtaki watu waitaje mbeya? Kwani Mbeya ina tofauti gani na sehemu zingine katika nchi hii? Kwani Mbeya iko wapi? Si ni hapa hapa Tz kama zilivyo Lindi, Mara, Kigoma, Singida, Lukwa etc.DUBULIHASA said:HUYO MJINGA ASITUAMBIE KITU MKUU MM PALE LUFILYO NIMESOMA ADVANCE SHULE AMBAYO IMEJENGWA JIRAN NA NYUMBAN KWA MWANDOSYA KWA HIYO HAWA WAJINGA WASIJEDHAN SISI TUNAOKOTEZA HAPA WATUACHIE MBEYA HAIWAHUSU SHENZ ZAO
Buku 7 za lumumba umeamua kununulia viroba na kuja kutapika humu..jinga kabisa wewe!!! sina bei mimi wewe bwege,fuatilia mijadala yangu tokea miaka saba iliyopita..Mijitu mingine bwana!
Hivi mnaagizwa kuchamba mtandaoni au?
Vihela vidogo mnavyopewa mnakuwa kama makuwadi.
A perfectly good debate mnaingiza yenu.
Jitu lenyewe umekaa kama ,ah basi tu.
Kwa posti zako bei isha fika.Buku 7 za lumumba umeamua kununulia viroba na kuja kutapika humu..jinga kabisa wewe!!! sina bei mimi wewe bwege,fuatilia mijadala yangu tokea miaka saba iliyopita..
Umeahidiwa nini ndugu.Wewe unijua mbeya au umendika habari za kuhadithiwa maana yake habari yote ya mwandosya na sifa ulizompa si za kweli.kama umelipwa kumtakasa huyo bwana umepitwa na wakati
Mkuu achana naye huyo kikaragosi wa bavicha.Kwa posti zako bei isha fika.
Jamaa hapo juu kasema wazi, wanywa maji ya kuoshea nguo za ndani za kina Mbowe and co.
Ukitoacho ndicho ulichokunywa!
wapuuzi nyie wala hamkai mbeya ingawa kwenu mwa asiliMkuu achana naye huyo kikaragosi wa bavicha.
Hawajui watokako wala wanakokwenda.
Na tatizo kubwa la bavicha watokao Mbeya na Sugu wao ninkuyoelewa kuwa kati ya Mawaziri Wakuu walioididimiza kimaenndeleo ni Lowasa na Sumaye ambso sasa wako CHADEMA.
Miradi mingi ya maendeleo waliiminya pesa kwa makusudi na kuzielekeza pesa Arusha.
Mungu pishilia mbali wakiwa karibu na madaraka ndo wataumaliza mkoa kabisa.
Mpuuzi wewe na aliyekutuma kubwekea mti usioujua.wapuuzi nyie wala hamkai mbeya ingawa kwenu mwa asili
Mkuu watu wakisema funika kombe wanaharamu wapite, huwa hamjui kuwa wanaharamu ndo ninyi!wapuuzi nyie wala hamkai mbeya ingawa kwenu mwa asili
Hawa watu wa kanda ya ziwa ni watu wa ajabu Sana. Mwaka 2015 wakati wa kampeni, wanawake waliletewa nguo za ndani zenye chapa ya ccm, waliona kitu cha ajabu Sana.Hoja yako imepotezwa na ubaguzi wako wa kikanda na kidini. Kwa taarifa yako Mimi naishi na kufanya kazi wilaya ya Magu. Kwa kilichotokea uchaguzi wa 2015 mikoa yenu ya usukumani hakipishani na chuki uijengayo hapa. Bukoba na Mara kwani sio kanda ya Ziwa? Mbona walichagua upinzani kwa kishindo?
Ktk mikoa ambayo wapiga kura ni duni kifikra(hasa elimu ya uraia) ni hiyo mikoa uliyoitaja. Vibiriti, Chumvi ndio vilikua bora kwenu. CCM kwangu sina imani nayo hata kidogo and napigia chapuo Mbeya upinzani uchaguliwe ili serikali yenu itambue.
Tangu enzi za Nyerere serikali imekua ikiitenda mbeya isivyo. Rejea Nyerere kumuweka John Mwakangale(Mungu amrehemu) ambaye shule ilikua tatizo almradi tu afanikishe malengo yake kisiasa. Njoo kwa kwa Kikwete na picha yake na John Mwakipesile utaelewa.
Mbeya watu wake hata wawe duni kiasi gani visasi wanajua kuvifuga na hawasahau. Huyu bwana wa Ss no wonder siku akienda huko labda afanye makubwa yatayowapooza watu dhidi ya kutengwa na serrikali watamuelewa.
Mi hapo sijaona cha ajabu. Labda ungenitajia patents zake ndo ningeona maajabu. Uprofessor wa science and technology ni products na patents, sio sifa za kusema nilikuwa wa kwanza darasani.
Hiyo ndo tofauti ya MIT na vyuo vingine .
Kwenye taaluma ya chuo kikuu, kipimo kimehama kutoka theory kwenda products. Ni hatua ya mbele zaidi. An average professor will boast about his papers, a prominent one will talk about the way his work has changed people's lives. Patents, patents, patents. By the way, huwezi kuwa prof bila kudevelop theories. So every prof does that, nothing special.Mkuu acha stori...kutengeneza theory inayoweza msaidia mtu kudevelop product na kupata patent sio kitu cha ki.se.nge wewee..
Check theories alizo generate Mwandosya kwenye studies zake...patents tu ndio usomi?Nigga pleaseee....
etii??Profesa mzima tena wa Engineering kweli anakuwa mwanasiasa?
Ndiyo ajira adhimu Tanzania. Angalia jinsi Prof. Tibaijuka alivyokomaa na siasa za CCM pamoja na vipondo vyote lakini yumo tu. Ni kama vile kuna juju fulani hivi kwenye fani hiyo. Inashangaza sana.Profesa mzima tena wa Engineering kweli anakuwa mwanasiasa?