Mbeya: Idara ya maji mbona kimya juu ya zile nafasi za kazi zilizotangazwa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kulikuwa na tangazo la nafasi za kazi kwenye idara ya maji mkoa wa mbeya, nI takribani mawiki yamepita ila hakuna hata updates.....KULIKONI
 
Wameitana kimya kimya we endelea tu na mambo mengine mkuu
Kwanini sijui wanashindwaga kutoa majina kwa pamoja na kuanza kutumia watu SMS naonaga makuzi kiukweli
 
Back
Top Bottom