Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 130
Jamani naomba msaada .
Nimelazwa na mtoto hapa hospitali ya rufaa nikitokea Tukuyu na hali ya mtoto ni mbaya sana natakiwa kupewa rufaa kwenda Muhimbili.
Ila naambiwa nitoe laki saba za usafiri nimewaomba basi acha nijisafirishe na basi maana sina hiyo hela wanakataa kwa kweli hali ya mtoto ni mbaya sana.