Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,169
- 29,876
Fursa hiyo wachaga changamkieni.Mikoa ambayo watu SI wafugaji Kama mbeya nyama choma kweli hawajui.Hata ukienda kagera,Lindi,mtwara, ruvuma, nk Tatizo ni Hilo hiloKatika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Kwenye miti hakuna wajenzi!!!Kuzalisha wazalishe wao, na kuandaa wandae wenyewe, kazi ya kuandaa andaeni mikoa mingine huko huku wako bize kuvitafuta mashambani.
We zitaje tu.Nahisi ulitembelea sehemu maarufu kwa uuzaji wa K Vant sio nyama choma...
Next time nenda pembeni kidogo ya mji sio vilabuni huko utafurahi siwezi kutaja ni kama free promotion
Isee tuombe radhi.Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Yaani nyie mmezoea kula manati?Mshazoea broiler mtawezea wap organic?
Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Mbona umeipromoti K Vant mkuu?Nahisi ulitembelea sehemu maarufu kwa uuzaji wa K Vant sio nyama choma...
Next time nenda pembeni kidogo ya mji sio vilabuni huko utafurahi siwezi kutaja ni kama free promotion
Siye tumesoea fyakula fya kupikwa.Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa sauti yaoo hahahaSiye tumesoea fyakula fya kupikwa.
Mkuu Soweto iko sehemu gani Mbeya mjini.Soweto kila kitu unapata, nyama choma safi, pweza, urojo...Mbalizi (wilaya ya mbeya vijijini), Uyole...we ulienda sehemu ambazo history yake huijui vizuri...huko ulikotaja hata ufanyeje, lazima utanunua chakula hata kiweje (hutaki acha) wanauzia mazoea...