Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Boko mtoto wake wa kwanza ana miaka 32 eti?vip kuhusu nyoni?Wawa je?Haaa,mtani acha bwana.hao wazee ndo ushindi.
Boko mtoto wake wa kwanza ana miaka 32 eti?vip kuhusu nyoni?Wawa je?Haaa,mtani acha bwana.hao wazee ndo ushindi.
Mmesahau mlivyolindwa na Referees dhidi ya Azam fc?Mikia aka tff fc.
Tambeni tu.
miaka 32?umenichekesha aise.Boko mtoto wake wa kwanza ana miaka 32 eti?vip kuhusu nyoni?Wawa je?
kwa matokeo ya azam zimebaki point 3 tu.tunaichapa Prison habari itaishia hapoKuna uwezekano Simba kutwaa ubingwa kabla ya liverpool...
Ila kumbuka Yanga bado wanafukuza mwizi kimya kimya..kwa matokeo ya azam zimebaki point 3 tu.tunaichapa Prison habari itaishia hapo
Boko mtoto wake wa kwanza ana miaka 32 eti?vip kuhusu nyoni?Wawa je?
Ana kimaviKama Betina atakwenda basi ujue Mbeya City watafungwa
Mkuu vipi mechi yenu inakwendaje?Msipate tabu tff ipo kwa ajili yenu
Ngapiiiii ukoooo team ya vijanaaa[emoji23][emoji23]Ngoja nisubiri mechi ya maana jioni,nisipoteze muda kwa huu utumbo wa club ya wazee
Utopolo fc[emoji28]Hiyo ndo timu ya vijana