Mbeya City vs Simba live

Mbeya City vs Simba live

Sasa imagine ana mtoto ana miaka 32 ana mabao 7 na hapo kuna mechi nyingi tu hakucheza. Wale mabwege wetu wenye miaka midogo kuliko mtoto wa boko wapo wao tu wananenepa makalio.

Boko mtoto wake wa kwanza ana miaka 32 eti?vip kuhusu nyoni?Wawa je?
 
Mkuu mbona leo watatoa droo tena hao yanga ,na wakidro azam bado yupo juu
Ila kumbuka Yanga bado wanafukuza mwizi kimya kimya..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom