Mbeya city vs Coastal union

Mbeya city vs Coastal union

Dk ya 90, coastal union 2:0 Mbeya city!
Too bad guys!
 
Tangu tuwatoe utandu (tuwabikire) wamekuwa walaini sana hawa MCC, kunateleza tu sasa.
Mpaka Coastal naye kawalainisha.!!!
 
Mbeya cty ilikuwa nguvu za soda tu Hata jkt oljoro walikuja hivyohivyo sasa hiv wako wapi? Huo ndo mwanzo wa mbeya MCC kuporomoka na mwisho wa kung'ara ktk soka la bongo
 
Back
Top Bottom