Kally mohamed
Member
- Feb 20, 2014
- 20
- 2
Habar wana jf, kwa walio uwanjani tupeane matokeo baina ya coast na mcc
Mkuu bado matokeo ni 0:0 half time!
Mkuu bado matokeo ni 0:0 half time!
Dk 78, coastal Union 1: 0 Mbeya city
Dk 78, coastal Union 1: 0 Mbeya city
Tukikaza uzi kesho kumbe tunaweza rudi nafasi ya tatu.Full time! Coastal 2:0 Mbeya city
Full time! Coastal 2:0 Mbeya city
Vzr sana waache kupania mechi kubwa tu,na bado wataendelea kupata hayo matokeo mpaka mwisho wa ligFull time! Coastal 2:0 Mbeya city