Mbeya city kibaruani tena leo!

ALFA OMEGA

Member
Feb 9, 2014
20
0
Timu ya MBEYA CITY inaingia kibaruani tena leo kupambana na timu kongwe ya AFC LEOPARD ya Kenya katika michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayofanyika nchini Sudan.
Hii ni mechi ya pili baada ya ile ya kwanza ambapo MBEYA CITY waliibuka kidedea kwa ushindi wa magoli matatu(3) dhidi ya mawili (2) ya AcademieTchite ya Burundi.
Wana Mbeya na Watanzania kwa ujumla tujumuike kuiombea timu yetu ili ifanye vyema katika pambano la leo.
 

Attachments

  • mbeya city ooi.jpg
    File size
    60.5 KB
    Views
    91

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom