Mbeya City FC, from hero to zero

Mbeya City FC, from hero to zero

bujashi25

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
623
Reaction score
112
mechi ya nne mfululizo wanapigwa naona kocha juma mwambusi akimfuata kitambi wa ndanda fc.........so bure hawa jamaa watakuwa wamelewa soda za cocacola tena za kopo au ndo kusema wamelewa sifa za kufanya vizuri msimu uliopita? kocha wao naye nikamshangaa usajili pekee alioufanya ni wa mshambuliaji akaona hakuna haja kusajili wachezaji zaidi, kwa mwendo walionao sasa naona kabisa wakirudi walipotoka kama juhudi binafsi hazitafanywa kutatua matatizo ndani ya timu
 
msimu huu acha tu mpaka Azam kachezea kichapo kutoka kwa vibonde
 
juma mwamnusi mbinafsi. kocha msaidizi ndo alikuwa ndo kichwa cha timu, sasa baada ya mgao wa kocha bora taifa, kati ya mamilion juma akampa mwenzie laki mbili tu, kwa hasira mwenzake kahama na kapata cheti cha kufundisha timu yoyote. matarajio ni kuwa mbeya city mwaka huu lazima itashuka tu
 
Kufanya vibaya kwa Mbeya city sio kigezo cha sisi kushuka daraja,mbeya city tutakaa vizuri na tutarudi kwenye hali yetu ya kawaida.Mungu ibariki Mbeya city fc
 
Mbeya city ndio by by walikuwepo tukuyu sigara nk sembuse nyinyi imekula kwenu.
 
juma mwamnusi mbinafsi. kocha msaidizi ndo alikuwa ndo kichwa cha timu, sasa baada ya mgao wa kocha bora taifa, kati ya mamilion juma akampa mwenzie laki mbili tu, kwa hasira mwenzake kahama na kapata cheti cha kufundisha timu yoyote. matarajio ni kuwa mbeya city mwaka huu lazima itashuka tu

Kama huyo kocha msaidizi alikuwa ndo kichwa cha timu mbona huko aliko kwa sasa timu yake haifanyi vizuri? Imecheza michezo nane na ina pointi nane. Timu yake ya sasa ni hii bolded red highlighted.

[h=2]First Division League-Group B
Season: 2014-2015[/h] [h=4]Table[/h] [TABLE="class: leaguemanager standingstable, width: 100%"]
[TR]
[TH="class: num"]Pos[/TH]
[TH="class: num"] [/TH]
[TH]Team[/TH]
[TH="class: num"]Pld[/TH]
[TH="class: num"]W[/TH]
[TH="class: num"]T[/TH]
[TH="class: num"]L[/TH]
[TH="class: num"]Goals[/TH]
[TH="align: center"]Diff[/TH]
[TH="class: num"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR="class: alternate ascend"]
[TD="class: rank"]1[/TD]
[TD="class: num"]↑[/TD]
[TD]Toto African[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]9[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]16[/TD]
[/TR]
[TR="class: ascend"]
[TD="class: rank"]2[/TD]
[TD="class: num"]↓[/TD]
[TD]JKT Oljoro[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]11[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]15[/TD]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]3[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Mwadui[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]12[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]4[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Polisi Tabora[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]14[/TD]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]5[/TD]
[TD="class: num"]↑[/TD]
[TD]Rhino Rangers[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]0[/TD]
[TD="class: num"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]6[/TD]
[TD="class: num"]↓[/TD]
[TD]Polisi Mara[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]-3[/TD]
[TD="class: num"]11[/TD]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]7[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Polisi Dodoma[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]-4[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]8
[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Panone[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]-2[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]9[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Kanembwa JKT[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]-2[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]10[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Geita[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]-2[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]11[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Bukinafaso[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]0[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]3[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]-3[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]12[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD]Green Warriors[/TD]
[TD="class: num"]6[/TD]
[TD="class: num"]0[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]-6[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kufanya vibaya kwa Mbeya city sio kigezo cha sisi kushuka daraja,mbeya city tutakaa vizuri na tutarudi kwenye hali yetu ya kawaida.Mungu ibariki Mbeya city fc
mkuu kushuka hamtashuka ila chamoto mtakiona msimu huu
 
...labda hawajamlipa mganga wao...maana soka letu hili....
 
Kufanya vibaya kwa Mbeya city sio kigezo cha sisi kushuka daraja,mbeya city tutakaa vizuri na tutarudi kwenye hali yetu ya kawaida.Mungu ibariki Mbeya city fc

Na iwe hivyo mkuu,
japo inaumiza kwa mwendo huu hadi kero.
 
Na iwe hivyo mkuu,
japo inaumiza kwa mwendo huu hadi kero.

inaumiza lakini si wakati wa kuwapa mgongo na kuwakatisha tamaa wachezaji na uongozi.Hapa ndio mashabiki tunatakiwa tuonyeshe uzalendo wetu wa kweli kwa timu yetu.MCC FOREVER
 
Nasikia baada ya timu, kufanya vizuri kwenye ligi msimu wa 2013/2014 na wachezaji kupata umaarufu kwenye jiji la mbeya na viunga vyake, wachezaji walianza tabia ya kujipigia mademu za watu, hivyo wenye wanawake wakaamua kwenda kwa mganga sumbawanga ili kuishua heshima ya mbeya city na wachezaji wake,,,,,,sijui kama lina ukweli hili.............ila naiona mbeya city kama inashuka daraja hivi!!!!!!!!!!!!!!
 
mechi ya nne mfululizo wanapigwa naona kocha juma mwambusi akimfuata kitambi wa ndanda fc.........so bure hawa jamaa watakuwa wamelewa soda za cocacola tena za kopo au ndo kusema wamelewa sifa za kufanya vizuri msimu uliopita? kocha wao naye nikamshangaa usajili pekee alioufanya ni wa mshambuliaji akaona hakuna haja kusajili wachezaji zaidi, kwa mwendo walionao sasa naona kabisa wakirudi walipotoka kama juhudi binafsi hazitafanywa kutatua matatizo ndani ya timu

bujashi25, MCC haijapotea kama ambavyo wengi wangedhani. Kipindi wanachopitia ni cha mpito tu, ngoja waongeze nguvu dirisha dogo halafu tutafurahi wenyewe na roho zetu.
 
Last edited by a moderator:

Hao walipewa uchawi wa punje. Kuku alikula punje moja maana wamevuma mwaka mmoja tu.
 
bujashi25, MCC haijapotea kama ambavyo wengi wangedhani. Kipindi wanachopitia ni cha mpito tu, ngoja waongeze nguvu dirisha dogo halafu tutafurahi wenyewe na roho zetu.

Msisahau ku renew make punje kwishney
 
Last edited by a moderator:
Nasikia baada ya timu, kufanya vizuri kwenye ligi msimu wa 2013/2014 na wachezaji kupata umaarufu kwenye jiji la mbeya na viunga vyake, wachezaji walianza tabia ya kujipigia mademu za watu, hivyo wenye wanawake wakaamua kwenda kwa mganga sumbawanga ili kuishua heshima ya mbeya city na wachezaji wake,,,,,,sijui kama lina ukweli hili.............ila naiona mbeya city kama inashuka daraja hivi!!!!!!!!!!!!!!

Speed ya kuingilia ndo speed ya kutokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom