Mbeya City CFC imekuja kuleta mabadiiko ya Soka

Mbeya City CFC imekuja kuleta mabadiiko ya Soka

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Mbeya city fc. ni Kati ya timu ambazo zimekuja kubadili kabisa soka la USIMBA na UYANGA.

Najua hakuna asiyejua ubishi wa Mbeye city fc. kwanza mimi naipenda sana, watu ninapowaona wamevaa jezi za mbeya city fc, naona kama wabishi na ni wajanja wanaoenda na wakati, kuliko waliovaa jezi za Simba na Yanga.

Mimi huwaga nawaona waliovaa jezi za simba na yanga kama washamba washamba fulani ambao hawataki kubadilika, wanaendelea na ukale wao, wasomi kibao kama mimi tunavaa jezi za mbeya city, azam fc, n.k

Najua washabiki wa simba na yanga mutanitukana sana,

mimi sitawalaumu bali, nitalaumu ukosefu wenu wa elimu.
 
Mkuu kiswahili hichoo...oohoo!Utadhani umeingilia pale Kalemie "mukubwa yetu"?Hongera,umeanza na uzalendo wa MCFC,safi!
 
Wadau nimebandilisha kiswahili wanaosema waseme sasa,

Mbeya juu, juu juu zaidi
 
mwaka huu wawe makini sana maana simba yanga na azamu wapo vizuri mno na kuna mtibwa nawaomba wawe vzuri
 
Mbeya city ni kama iliyokua Milambo Tabora nayo itakufa kifo cha kawaida kabisa....Ngoma ikivuma sana upasuka
 
Azam fc ni habari ya town

Hao azam ndio wamekuja kulididimiza soka la bongo kabisa,wana miundo mbinu mizuri lkn bado wanatumia rushwa,kuna zisizo rasmi viongoz azam kwa kushirikiana na wa simba jana wamekutana kupanga namna ya kuifunga yanga goli 4 kwenye mechi ya ngao ya hisani,mbeya city nawakubali,kwanza hawajabase kwa hawa kurwa na doto wa k'koo
 
Azam, haina lolote kaka.
 
Mbeya City na udogo wake wanaitoa jasho team yenye miaka 70+
 
Back
Top Bottom