Bora ya hao wametoa kwa hiari yao kuliko nyie mnao nyang'anya.
wakiingia ikulu watatumia bunduki kupata zaid ya hizo
Bora ya hao wametoa kwa hiari yao kuliko nyie mnao nyang'anya.
Issue sio kuchanga tu, Lakini walau tungekuwa tunapewa mrejesho wa mapato na matumizi.
Tukikosa transparency kwenye vihela vijisenti kama hivyo . Je tukiwakabidhi Hazina yetu itakuwaje ?
Yaaani mi naogopa sanaa....
We lazima utakuwa Gamba. Umewakabidhi CCM hazina je nini wanachokifanya?? au na wewe ni mneemeka wa kodi zetu?? Its better tukawapa hiyo hazina na wengine ili tuone wanavyofanya ili baadaye tupime nani kati yao ameitendea mema hazina yetu. Je kwa kuendelea kukaa na CCM tutajuaje ufanisi wa wengine pia kama hatujawapa nafasi nao waimanage hiyo hazina?? au akili yako inakuambia ni lazma Tanzania tuongozwe na CCM hadi mwisho wa Dunia??? After all CCM unaona nani ni presidential material????Nyie ndio mnaotucost kwa hayo mawazo yenu finyu.Issue sio kuchanga tu, Lakini walau tungekuwa tunapewa mrejesho wa mapato na matumizi.
Tukikosa transparency kwenye vihela vijisenti kama hivyo . Je tukiwakabidhi Hazina yetu itakuwaje ?
Yaaani mi naogopa sanaa....
Issue sio kuchanga tu, Lakini walau tungekuwa tunapewa mrejesho wa mapato na matumizi.
Tukikosa transparency kwenye vihela vijisenti kama hivyo . Je tukiwakabidhi Hazina yetu itakuwaje ?
Yaaani mi naogopa sanaa....
Zote mtanunua maji ya maandamo hama kweli wajinga ndiyo...[/QUOTE
Acheni unafiki kujidai kuwaonea Watanzania huruma wakati nyie ndio majambazi wakubwa,saa hivi mnatafuta pesa za kampeni kwa kuingia mikataba feki ambayo ni mzigo kwa watanzania ambaye hata hajazaliwa,akizaliwa tu anakuta anadaiwa deni ambalo ccm wamechakachua unafiki una athari zake
ningependa yawe maandamano ya kuing'oa serikali yote kama alivyosema mke wao mrema ili tuanze upya.
Zimepatikana takriban mil.3.2 ,hii inaonesha ni jinsi gani watz tumewachoka wakoloni weusi {ccm} ,sio hivyo tu! Bali inaonesha jinsi cdm wanavyojali maslahi ya nchi. Hasie uona umuhimu wa cdm anautindio wa ubongo.
Looh! maskini wanachanga pesa, wakubwa wanakula. Hii dunia kweli wajinga ndio waliwao.
Chadema wamejua kula za wajinga,unatoa huku unachekelea.