Daudi Mwakisale
Member
- Sep 29, 2011
- 13
- 1
Chadema wamejua kula za wajinga,unatoa huku unachekelea.
staili mpya ya wachaga kujiongezea mapato.looh! Maskini wanachanga pesa, wakubwa wanakula. Hii dunia kweli wajinga ndio waliwao.
zimepatika jumla ya sh. 3,257,600/= cash
Looh! maskini wanachanga pesa, wakubwa wanakula. Hii dunia kweli wajinga ndio waliwao.
Bora ya hao wametoa kwa hiari yao kuliko nyie mnao nyang'anya.Zote mtanunua maji ya maandamo hama kweli wajinga ndiyo...