Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Zai kwa Arusha naweza pata jina la duka na eneo lilipo nifate moja kwa moja badala ya no ...
Zai kwa Arusha naweza pata jina la duka na eneo lilipo nifate moja kwa moja badala ya no ...
Samahani kwa kuchelewa kukufahamisha, nimeambiwa upo Phillips kuna internet cafe hapo inaitwa Phillips Internet Cafe, ukiingia hapo muulize kaka anaitwa Eugene, atakupatia.
Au wasiliana na: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/802971-arusha-100%-natural-super-clay.html
Kuhusu fungus kwenye vidole vya miguuni, unafanyaje?
Tena utashangaa sana.
Unachukuwa kijiko kimoja cha Aunt Zainab's Natural Super Clay, unachanganya na maji unakoroga inakuwa nzito kama hinna (ugali mlaini), unapaka unawacha ikauke, na unaweza kulala nayo.
Siku ya kwanza tu utaanza kuona mabadiliko, endelea nayo mpaka uone sasa umepona kabisa.
Na bei ya huu udongo ni sh ngapi?