Uchawi mkuu, kuna wazazi wanawaroga au kuwatoa kafara watoto wao na kuishia kuwatumikisha wasiweze kuwa na maendeleo yoyote........hapa ndo utajua ngozi nyeusi ni jamii iliyolaaniwa.Kunanini tena kati ya wazazi na watoto wao?
Mtoto wako mwenyewe umzuie maendeleo?Hatari!Uchawi mkuu, kuna wazazi wanawaroga au kuwatoa kafara watoto wao na kuishia kuwatumikisha wasiweze kuwa na maendeleo yoyote........hapa ndo utajua ngozi nyeusi ni jamii iliyolaaniwa.
Duh!!!alichapika sana baada ya kuua
unajua ilikua jana mchana,katoka alikotoka nadhani alikua anatafuta muda mrefu kutimiza lengo lake,akaingia ndani akamchomachoma visu mzee wake halafu akatoka nje keshachanganyikiwa anasema keshamaliza kuchinja kuku sasa yuko salama
basi mama yake akatoka nje kupiga makelele ndio raia kufika pale kukuta kaua basi wakaanza naye kumpiga kabla police hawajafika...wanafika katepeta sanaaaa kaenda kufia hospitali ya rufaa mbeya
Kijana afande alikuwa anatumia bange na pombe kwa pamoja?Hili tukio limetokea nyumba ya 4 toka nnapokaa..nnachoweza kusema ni kuwa BANGI MBAYA
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndo hivyo, kuna wengine wanafanya watoto wao wa kuwazaa ndondocha na kuwatumia kwenye mambo ya biashara........hili nafikiri huwa linaongelewa sana kwa jamii ya watu wa kusini huko na pia kwa wahindi nimesikia.Mtoto wako mwenyewe umzuie maendeleo?Hatari!
Matukio yamezidi kwakweliJamani kuna nini kati ya wazazi na watoto!