Mbeya accommodation

Mbeya accommodation

DIBEGU

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
16
Reaction score
3
Ndugu zangu wana jamii nimepata safari ya kikazi mbeya lakni nataka kusafiri na familia yangu,ni wapi nitapata apartment ambayo naweza kukaa kwa Amani hapo mjini kwa bei nafuu.
 
Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni.
 
Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni.

Si suala la kukaa muda gani bali kukaa na familia. Apartment ndio ingefaa zaidi.
 
mtu anataka nyumba ya kupanga nyie mnamuambia mambo ya hoteli
 
Back
Top Bottom