Mbeya: Aamka, akuta jeneza nje ya nyumba

Mshana Jr si ajeatoe ufafanuzi taharuki iondoke?
 
Kwa woga huu wangekuweza. Mimi Hilo jeneza ningelifungua mwenyewe, ningevunja na kulitupilia mbali, sipendi ujinga na Wala siamini kabisa upuuzi wa uwepo wa uchawi. Sioni cha ajabu hapa
Una uhakika hauamini UCHAWI?uwe mkweli mkuu
 
Baada ya siku mbili hao matapeli watamtumia mwenye nyumba msg ya kujifanya waganga wa kumsafisha mikosi
 
Kwa woga huu wangekuweza. Mimi Hilo jeneza ningelifungua mwenyewe, ningevunja na kulitupilia mbali, sipendi ujinga na Wala siamini kabisa upuuzi wa uwepo wa uchawi. Sioni cha ajabu hapa
[emoji54][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona mkuu unavyolivunja vunja ...unaingia ndani unakuta mtu katulia ananing'inia kwenye ukuta sjui utalirudishia
 
Hahaha funny but unfortunately haiwezekani. Hakuna uchawi, acheni imani potofu za wajinga za kuamini mambo ya kusadikika
 
Baada ya siku mbili hao matapeli watamtumia mwenye nyumba msg ya kujifanya waganga wa kumsafisha mikosi

Na hapo walishakuja ucku kinyemela na kuchimbia hirizi fake na pembe za ng'ombe.. Kwa hiyo wakija kusafisha mikosi, watafukua na kuviondoa hivyo walivyoviweka wenyewe.. Hapo ndipo watakapoitwa kila kona waende wakasafishe pia.. Kuna watu wabaya lol..
 
Unaamini kuwa Mungu yupo?na kama yupo, mpinzani wake ni nani? Amini uchawi upo tena wakila aina
 
Kwa woga huu wangekuweza. Mimi Hilo jeneza ningelifungua mwenyewe, ningevunja na kulitupilia mbali, sipendi ujinga na Wala siamini kabisa upuuzi wa uwepo wa uchawi. Sioni cha ajabu hapa
Usilitupe wewe lifanye kuni za kupikia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom