Mbele ya CHADEMA hamna fisadi asiyesafishika.

Maswa 1

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
673
Reaction score
999
Amani ya bwana iwe nanyi.

Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .

Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.

Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!

Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?

Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?

Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!

Kwa nini hali hii inatokea??

Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?

Kwa hali hii ni fisadi nani atakayetaka kuhamia chadema ikashindwa kumsafisha?
 
Ccm ndio iliyoshika dola ndio yenye mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi/usalama kwa nini wasiwakamate wawapeleke mahamaka ya mafisadi kama wana kashfa/kesi za ufisadi?
 
Iyo si kwa chadema tuu hata ccm mkuu ni wababaishaji wanatumia siasa kujinufaisha
 
Ccm ndio iliyoshika dola ndio yenye mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi/usalama kwa nini wasiwakamate wawapeleke mahamaka ya mafisadi kama wana kashfa/kesi za ufisadi?
Kwa hiyo chadema huwa mnawasingizia watu ufisadi?
 
Refa ni wao mpira wao uwanja wao raise man wao magoli yao vibendera vyao nyavu za golini zao kadi na filimbi zao bado wanashindwa duuh kweli hawa piga manati
 
Hamna hayo mafisadi Upande Huu. Wangebebwa mchana kweupe. Je Upande ule wa pili wa Chenge, Tibaijuka n.k kamati za maadili zilishawahoji ??
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .

Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.

Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!

Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?

Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?

Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!

Kwa nini hali hii inatokea??

Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?

Kwa hali hii ni fisadi nani atakayetaka kuhamia chadema ikashindwa kumsafisha?
Singa singa wa IPTL!
 
Kwan hao majiz na wauza unga n ccm imewafukuza au wameondoka wenyewe tu???
Una serikali lkn bado unaendekeza tuhuma tu,peleka mahakaman wahukumiwe TUSIJADILI TUHUMA ZA SHOMBO HAPA
 
wanajaribu kuwasafisha lakini hawasafishiki, ndo maana mwingine tulimnyima hata urais.
 
Back
Top Bottom