Tt4tat boy
Member
- Nov 26, 2015
- 45
- 11
- Thread starter
-
- #21
Ndo hivyo tumejaa hadi tunagawana topic. Mi nafikiria kushauri maafisa elimu kutugawia maeneo ya kufanya usafi shuleni kuliko kuchukua mishaara ya bure.
Watu wengine mnaboa bwana wewe mwenyewe ndio upo first year, unazingizia kuwa mdogo ako ndio anayehitaji ushauri, we si upo UDOM wewe, tena upo block Q room no 45 we soma tu kwa bidii sasa ukianza kufikiria kuwa utaajiriwa au hautaajiriwa ivi utasoma kweli wewe..naona kama utadisco tu, maana utakuwa huna moyo wa kusoma.

uelewa ni mdogo saana wewe kama unasoma bila kuangalia future you ar a dead person , think big my brother ,think widely my dear, usisome tuu na kupata sifa ya kuwa msomi how will u be an intellect while your mind is focusing back ward, na unasema upo mwaka wa tatu. POLE
Nilikuwa muumini wa kukatisha watu tamaa ila umenibadilisha kwa kiwango kikubwa sana ndugu.Mimi naomba nishauri kitu kimoja.
Haya ni masuala ya maisha ya watu.
Si vizur kutoa maneno ambayo unajua fika kwamba yanalenga kukatisha watu tamaa ( hata kama ni ya kweli).
Ingefaa kusema kwamba waalim wa masomo ya arts wapo wengi ila uhakika Wa ajira upo mikononi mwa serikali yenyewe.
Unaweza Leo usipate ajira ya ualim but miaka michache ijayo ukaja hapa kushukuru kwa kukosa ajira ya ualim. Trust me.
Maana mwenyezi Mungu ana njia nyingi zakutufikishia rizk.
Unaweza pata plan nzur ya mchongo wowote ambao utakutoa sana hapo baadae na pengine ungekuwa kwenye ajira ya ualim usingeweza kuwaza mchongo huo.
Naomba waalim tarajali Wa masomo ya arts tusikatishwe tamaa na maneno ya watu ambao pengine hawaelew madhara ya kujifanya wasemaji Wa wizara zinazohusika na ajira za ualim.