Tt4tat boy
Member
- Nov 26, 2015
- 45
- 11
Heshima kwenu wakuu, nina wasiwasi mkubwa sana hapo baadae katika hizi ajira za ualimu maana nikichunguza kuna shule kwa sasa walimu wanagawana maada za kufundisha hali hii inanipa shaka kidogo na kuniaminisha kuwa huenda walimu wametosha, nasema haya kwa sababu kuna mdogo wangu yupo chuo na aliniomba ushauri kuhusu kozi ipi asome mimi nikakurupuka kwa mbwembwe na mkwara mzito kuwa akasomee UALIMU sasa nikijaribu kuchunguza wadau wanavyo sema duu nakata tamaa kabisa maana nilikuwa sitaki dogo ahangaike kusaka ajira na ndo kwanza tupo first yea mwaka huu all in all Mungu yupo , kazi ni kazi, mnasemaje wadau kuhusu hili swala
Kwa upande wa walimu wa arts ni KWELI tumejaa, lkn kwa upande wa walimu wa science bado wanahitajika sana tu
Wanaukimbia kwa ajili gani?wengine wanaukimbia ualim kumbe wengine wanaupenda
Heshima kwenu wakuu, nina wasiwasi mkubwa sana hapo baadae katika hizi ajira za ualimu maana nikichunguza kuna shule kwa sasa walimu wanagawana maada za kufundisha hali hii inanipa shaka kidogo na kuniaminisha kuwa huenda walimu wametosha, nasema haya kwa sababu kuna mdogo wangu yupo chuo na aliniomba ushauri kuhusu kozi ipi asome mimi nikakurupuka kwa mbwembwe na mkwara mzito kuwa akasomee UALIMU sasa nikijaribu kuchunguza wadau wanavyo sema duu nakata tamaa kabisa maana nilikuwa sitaki dogo ahangaike kusaka ajira na ndo kwanza tupo first yea mwaka huu all in all Mungu yupo , kazi ni kazi, mnasemaje wadau kuhusu hili swala
Watu wengine banaa yaani unawaza ajiraa na kati Uko fest year, na nyie mnaosema ajira hamn wala myie siyo serikaliii , arts wamejaa mjin na cyo vijijini achen kuongea vtu ambavyo ...
Heshima kwenu wakuu, nina wasiwasi mkubwa sana hapo baadae katika hizi ajira za ualimu maana nikichunguza kuna shule kwa sasa walimu wanagawana maada za kufundisha hali hii inanipa shaka kidogo na kuniaminisha kuwa huenda walimu wametosha, nasema haya kwa sababu kuna mdogo wangu yupo chuo na aliniomba ushauri kuhusu kozi ipi asome mimi nikakurupuka kwa mbwembwe na mkwara mzito kuwa akasomee UALIMU sasa nikijaribu kuchunguza wadau wanavyo sema duu nakata tamaa kabisa maana nilikuwa sitaki dogo ahangaike kusaka ajira na ndo kwanza tupo first yea mwaka huu all in all Mungu yupo , kazi ni kazi, mnasemaje wadau kuhusu hili swala
Bado saaana. Tatizo mlioko mjini mnadhari hata Kijijini ni kama mjini. Huku bado magep kibao.Kwa upande wa walimu wa arts ni KWELI tumejaa, lkn kwa upande wa walimu wa science bado wanahitajika sana tu