Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) taasisi ya serikali hii chini ya wizara ya mifugo na uvuvi,
unaweza kuwafollow
Instagram
au hata facebook,
website
TALIRI | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mwanzo
Ofisi ya TALIRI ya Kanda ya kaskazini
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
S.L.P 147,
Sanya Juu ,Kilimanjaro,Tanzania
Barua pepe :
westkilimanjaro@taliri.go.tz
Simu/Nukushi
Piga Bure: +255-784705134
Simu: +255 784705134
Nukushi:
+255-784705134
hapo huwezi kosa maelezo