Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mkuu Muulize mkuu utafiti anasema hapo bongo mbegu fupi za Mipapai inapatikana anaweza kukusaidia huyu Mkuu.hiii aina ya mipapai ni komesha mbona inazaa hivyo, mkuu ukipata wapi mbegu inapatikana naomba unijulishe wapi nikanunue MziziMkavu.