Billy the Goat
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 566
- 353
Mkuu weka source ulipo-copy hio habari!! Nakumbuka ipo humu hii habari kitambo sana,thanks kwa kuwakumbusha ambao hawajaipitia,GMO kwangu hapana ushawahi kuona kitungu kama Nazi?
Jamani siasa nyingine hazina maana. Hivi ubaua wa GMO UK kwenye vyakula turn kama mahidi? Mbona twatumia mazao ya GMO kwenye Tiba? Madawa kama INSULIN yanazalishwa kwa wingi kwa kutumia GMO, halo kadhalika VACCINE nyingi zinazalishwa kwa kutumia GMO. Kupata mabadiriko ktk kilimo chetu we have to use GMO

Hakuna siasa hata kidogo hapo..mabadiliko katika kilimo suluhisho sio GMO, tutakua ni watu tusiofikiria kama tutakimbilia directly huko. ..bcoz vitu kama ukame kwa asilimia kubwa sana vnachangiwa na shughuli za binadam zinazoharibu mazingira ambazo ndio zngetakiwa kutizamwa kwa upya kwa sababu kukiwa na ufa kwenye ukuta solution rahisi sio kujenga ukuta mpya bali ni kuziba ufa. Pia kuzuia wadudu kwenye mmea suluhisho sio kumodify mmea swala ni kutafuta njia mbadala itakayowaondoa bila kuharibu biological makeup ya mmea bcoz kuna wadudu wengine waoutegemea huo mmea ukiwa kwenye natural form ambao watapata matatizo ukiwa modified na baadae lije kua tatiza la ecology imbalance ambapo na ww pia litakuhusu. Vitu kama insulin na other vaccines havina shida bcoz vnatumika kutoa solution kwa tatizo husika bila kudesrupt other biological funcitions so USIVIFANANISHE NA MBEGU NA MIMEA AMBAYO NI GM.
Mkuu weka source ulipo-copy hio habari!! Nakumbuka ipo humu hii habari kitambo sana,thanks kwa kuwakumbusha ambao hawajaipitia,GMO kwangu hapana ushawahi kuona kitungu kama Nazi?
Mbon atayari zimeshazagaa na kuharibu mbegu zetu za asili...kinachofuatia ni kuwaingiza raia line ..ili wanasiasa watengeneze sheria..sheria ndipo itaanza wabana watu kulima mbegu za asili etc ili wanunue za kaina monsanto...jamaa wakuwba kuliko serikali za nchi kubwa kadhaa.
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
babayah67 ninawasiwasi kama kweli umeshabobea vizuri kwenye hii fani mpaka unatoa a strong conclusion kama hii. Kwataarifa yako Marekani wanaathirika sana na hili janga la GMO. Pia licha ya kuleta madhara kwenye kuharibu genetic resources za asili, it has been proved scientifically kwamba kuna modifications nyingine zinaleta athari kubwa kwenye miili ya binadamu na viumbe wengine. Unaweza tafuta scientific findings kwenye hili, kama utashindwa kuzipata naweza kukusaidia kukutafutia baadhi. Nami pia nipo eneo hili na ni kweli nimedhibitisha haya niliyoandika hapa.Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
New York (AFP) - The United States is facing an epidemic of herbicide-resistant "superweeds" that some activists and researchers are blaming on GMOs, an accusation rejected by industry giants.
According to a recent study, the situation is such that American farmers are "heading for a crisis."
Many scientists blame overuse of herbicides, prompted by seeds genetically modified to resist them.
"In parts of the country, weeds resistant to the world's most popular herbicide, glyphosate, now grow in the vast majority of soybean, cotton, and corn fields," many of which were planted with seeds resistant to the weedkiller, said the study published in the journal Science in September.